Na.Issack Gerald-MPANDA . BAADHI ya viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo Chadema Wilayani Mpanda Mkoani Katavi wamejiuzuru wadhifa wao kutokana na usaliti ndani ya chama uliotokea kipindi cha uchaguzi mkuu wa ubunge urais na madiwani Oktoba 25 mwaka huu.
Baadhi ya wanufaika wa Mradi wa Tasaf Mkoani Katavi Na.Issack Gerald-MPANDA KAYA 8537 katika vijiji 80 kati vijiji 177 vilivyopo Mkoani Katavi zimenufaika na mpango wa kunusuru kaya maskini Mkoani Katavi.
Na.Issack Gerald-NSIMBO ZAIDI ya vijiji saba katika Halmashauri ya wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi vinakabiliwa na ubovu wa miundombinu ya barabara inayounganisha kijiji kimoja na kingine.
Na.Issack Gerald-MPANDA. SHULE ya Msingi Kawanzige iliyopo Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi yenye jumla ya wanafunzi 663 inakabiliwa na upungufu wa madarasa ya wanafunzi pamoja na ofisi za Walimu.
Baadhi ya magogo yaliyokamatwa Na Mwandishi wetu- SUMBAWANGA. MKUU wa Mkoa wa Rukwa Magalula Ssaid Magula ameagiza kuondolewa mara moja kwa maofisa wa vitengo vinne kutoka katika kituo cha forodha cha Kasesya mpakani mwa nchi ya Zambia wilayani Kalambo mkoani humo kwa tuhuma za kushindwa kutekeleza maadili ya utumishi wa umma.
Na.Issack Gerald-Mlele. BAADHI ya wakazi wa Ilunde na Isegenezya kata ya Inyonga wilayani Mlele Mkoani Katavi wameupongeza mradi wa kunusuru kaya masikini tasaf kwa kuwawezesha kujikwamua kimaisha.