Posts

WASAFIRI MPANDA WALALAMIKA TRENI KUTOSAFIRISHA ABIRIA KWA MUDA MWAFAKA

Na.Issack Gerald-MPANDA Wasafiri wa treni mkoani katavi wamelalamikia suala la kukaa muda mrefu kwenye kituo cha treni kiasi kinachowafanya kushindwa kusafiri kwa wakati unaotakiwa.

WALEMAVU KATAVI WAOMBA MITAJI NA MIRADI YA MAENDELEO KUONDOKANA NA UMASKINI

Na.Issack Gerald-MPANDA Watu wenye ulemavu mbalimbali Mkoani Katavi wameiomba serikali ya Tanzania kuwapatia miradi ya maendeleo   pamoja na kujenga miundombinu rafiki kwao itakayowasaidia kupunguza ugumu   wa maisha.

WANAWAKE MPANDA NDOGO NA KABUNGU WAONGOZA KWA MAAMBUKIZI YA VIRUSI VYA UKIMWI

Na.Issack Gerald-MPANDA Jumla ya watu 14 kati ya 169 waliopima Virusi vya Ukimwi Mwezi Novemba mwaka huu katika Kata ya Kabungu na Mpanda Ndogo wamegundulika kuwa na maambukizi ya virusi vya Ukimwi.

DAWA ZA MAGONJWA YASIYOKUWA YANAPEWA KIPAUMBELE KUANZA KUGAWIWA KESHO KATAVI

Na.Issack Gerald-MPANDA. JAMII Mkoani Katavi imetakiwa kuzingatia utaratibu wa wataalamu wa afya juu ya matumizi ya dawa za magonjwa yasiyokuwa yanapewa kipaumbele Mkoani   hapa.

WAKAZI MKOANI KATAVI WANAOZUNGUKA HIFADHI WATAKIWA KUTOFANYA SHUGHULI YOYOTE HIFADHINI

Na.Issack Gerald-MPANDA Wananchi wanaoishi karibu na hifadhi mbalimbali Mkoani Katavi wameshauriwa   kutofanya shughuli yoyote ndani ya hifadhi pamoja na   kuzingatia sheria   ya uhifadhi ili kuendelela kuzilinda hifadhi hizo.

WAZAZI,WALEZI KATAVI WAASWA KUWAPELEKA VIJANA WAO KATIKA VYUO KUPATA SOKO LA AJIRA

Na.Issack Gerald-MPANDA WAZAZI na walezi mkoani katavi wameshauriwa kuwapeleka vijana wao katika vyuo mbalimbali vya mafunzo ya ufundi stadi VETA   ili waweze kupata elimu itakayowasaidia kuingia katika soko la ajira ikiwa pamoja na kujiajiri wenyewe pindi wamalizapo masomo yao.

WAKAZI MPANDA WAASWA KUJENGA NYUMBA BORA KUJIKINGA NA MVUA ZA ELNINO

Na.Issack Gerald-MPANDA WAKAZI wa wilaya ya Mpanda mkoani Katavi, wameshauriwa kujenga nyumba bora ili kuepukana na madhara yanayoweza kusababishwa na mvua zinazosadikika kuwa za elnino.