Posts

UONGOZI HOSPITALI YA WILAYA MPANDA WALALAMIKIWA KWA KUTOA HUDUMA DUNI KWA WAGONJWA

Na.Issack Gerald-MPANDA BAADHI ya wakazi wa Manispaa ya Mpanda wameulalamikia uongozi wa hospital ya wilaya ya Mpanda kwa kutoa huduma isiyoridhisha.

WAKAZI KATAVI WATAKIWA KUWA TAYARI KWA USAFI DESEMBA 9

Na.Issack Gerald-MPANDA. WAKAZI Katika Mkoa wa Katavi wametakiwa Kuwatayari Kushiriki Katika zoezi la Kufanya usafi wa Mazingira litakalofanyika Nchi nzima December 9 Mwaka huu.

MAHAKAMA YATUPILIA MBALI PINGAMIZI LA POLISI

Na.Mwandishi wetu-Mwanza. Mahakama kuu kanda ya mwanza imetupilia pingamizi la  polisi kuzuia  waombolezaji kufanya ibada ya kuuaga mwili wa aliyekuwa mwenyekiti wa chadema mkoa wa geita Afonce Mawazo aliyeuwawa nov.14 mwakahuu kwa kukatwa mapanga.

WAKAZI MANISPAA YA MPANDA WALIA NA UKOSEFU WA MAJI SAFI NA SALAMA

Na.Issack Gerald-MPANDA Wakazi wa kata ya Makanyagio katika Manispaa ya   Mpanda Mkoani katavi wameiomba mamlaka ya maji safi na salama Manispaa ya Mpanda kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi hao.

WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAANZA MTIHANI WA MOCK KIKANDA

Na.Issack Gerald-MPANDA WANAFUNZI wa kidato cha sita katika Manispaa ya Mpanda wameanza kufanya mtihani wa mock.

VIONGOZI NGAZI YA CHINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA MASLAHI YA UMMA

Na.Issack Gerald-NSIMBO VIONGOZI wa ngazi ya chini wametakiwa kufanya kazi kwa maslahi ya umma ili kuendana na Kasi ya Rais Dr Jonh Pombe Magufuli.

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI

Na.Issack Gerald-MPANDA WATU Wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kukamatwa na nyara za serikali, wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Mpanda na   kusomewa mashtaka.