Posts

WAKAZI MANISPAA YA MPANDA WALIA NA UKOSEFU WA MAJI SAFI NA SALAMA

Na.Issack Gerald-MPANDA Wakazi wa kata ya Makanyagio katika Manispaa ya   Mpanda Mkoani katavi wameiomba mamlaka ya maji safi na salama Manispaa ya Mpanda kutafuta ufumbuzi wa kuondoa kero ya kukosekana kwa maji safi na salama kwa wananchi hao.

WANAFUNZI KIDATO CHA SITA WAANZA MTIHANI WA MOCK KIKANDA

Na.Issack Gerald-MPANDA WANAFUNZI wa kidato cha sita katika Manispaa ya Mpanda wameanza kufanya mtihani wa mock.

VIONGOZI NGAZI YA CHINI WATAKIWA KUFANYA KAZI KWA MASLAHI YA UMMA

Na.Issack Gerald-NSIMBO VIONGOZI wa ngazi ya chini wametakiwa kufanya kazi kwa maslahi ya umma ili kuendana na Kasi ya Rais Dr Jonh Pombe Magufuli.

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI KWA KUKAMATWA NA NYARA ZA SERIKALI

Na.Issack Gerald-MPANDA WATU Wawili wanaokabiliwa na mashtaka ya kukamatwa na nyara za serikali, wamefikishwa katika mahakama ya wilaya ya Mpanda na   kusomewa mashtaka.  

MGOGORO WA WAFANYABIASAHARA WA MATUNDA SOKO LA MPANDA HOTEL WAMALIZIKA

Na.Issack Gerald-MPANDA Wafanyabiasahara wa matunda katika soko la Mpanda Hotel Manispaa ya Mpanda,wamewapongeza viongozi wa Manispaa,madiwani , maafisa masoko na Bibi afya   kwa kuwaruhusu kuuza matunda yao katika eneo wanalolitaka baada ya kufanya usafi wa kuridhisha.

WAZIRI MKUU KASSIMU MAJALIWA NI NANI?SOMA HAPA

Image
  Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim Majaliwa Waziri Mkuu mteule wa Tanzania, Kassim Majaliwa, alizaliwa Disemba 22, 1960 Wilayani Ruangwa Mkoani Lindi.

MAJALIWA KASSIMU MAJALIWA WAZIRI MKUU WA 11 TANZANIA TANGU UHURU WA TANGANYIKA

Image
  Wabunge wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wakiwa katika kikao cha kwanza katika mkutano wa kwanza wa bunge la 11 kumchagua Waziri mkuu wa Tanzania na Naibu Spika Na.Mwandishi wetu-DODOMA Mbunge wa Ruangwa Majaliwa Kassim Majaliwa ameidhinishwa na Bunge la Tanzania kuwa waziri mkuu mpya wa Tanzania.