MANISPAA YA MPANDA KUFANYA TAFRIJA KESHO KUWAPONGEZA WALIMU KWA KUFAULISHA WANAFUNZI DARASA LA SABA NA KUWA NAMBA MOJA KITAIFA
Na.Issack Gerald-Mpanda Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoani katavi inatarajia kufanya tafrija ya kuwapongeza walimu kwa matokeo mazuri ya darasa la saba yaliyopelekea Manispaa ya Mpanda kushika nafasi ya kwanza kitaifa 2015.