MANISPAA YA MPANDA KUFANYA TAFRIJA KESHO KUWAPONGEZA WALIMU KWA KUFAULISHA WANAFUNZI DARASA LA SABA NA KUWA NAMBA MOJA KITAIFA
Na.Issack
Gerald-Mpanda
Halmashauri ya Manispaa
ya Mpanda Mkoani katavi inatarajia kufanya tafrija ya kuwapongeza walimu kwa
matokeo mazuri ya darasa la saba yaliyopelekea Manispaa ya Mpanda kushika
nafasi ya kwanza kitaifa 2015.
Aakizungumza na Mpanda
Radio,Kaimu Mkurugenzi Manispaa ya Mpanda Vicent Kayombo amesema kuwa tafrija
hii imepangwa kufanyika kesho.
Katika Matokeo ya mwaka
huu,Manispaa ya Mpanda imefaulisha wanafunzi kwa asilimia 97.8.
Wakati huo huo
amewaomba wadau wa elimu kujitkeza na kuwapa motisha walimu ili wafundishe kwa bidii
hata katika mwaka ujao wa 2016.
Comments