Posts

KUUWAWA BODABODA KATAVI,KWAWAAMSHA POLISI KATAVI,WAAMUA KUITISHA MKUTANO WA BODABODA

Na.Issack Gerald-MPANDA Kufuatia kukithiri kwa vitendo vya mauaji ya waendesha pikipiki Mkoani Katavi,Mkuu wa usalama barabarani ameitisha kikao kinachotarajia kufanyika kesho kujadili kwa kina suala hilo.

WAFANYABIASHARA WA MATUNDA SOKO LA MPANDA HOTELI WANAOUZIA CHINI WAGOMA KUOANDOKA

Na.Issack Gerald-Mpanda Wafanyabiashara wa bidhaa katika soko la Mpanda hoteil lililopo halmashauri ya mji Mpanda wamegomea agizo lililotolewa na Mwenyekiti wa soko hilo bwana Boniphace Mganyasi la kutaka kuhamisha bidhaa zao chini na kupeleka katika vichanja vya ndani.

WAZAZI,WALEZI WATAKIWA KUTOWAFICH AWATOTO WENYE ULEMAVU

Image
  Baadhi ya watoto walemavu wakisikiliza maelezo ya walimu wao,walimu hawapo pichani Na.Issack Gerald-MPANDA Wazazi na walezi wilayani Mpanda Mkoani Katavi wametakiwa kuacha tabia ya kuwaficha watoto wenye ulemavu mbalimbali badala yake wawapeleke shule kupata elimu jumuishi itakayo wasaidia katika maisha yao.

WAKAZI KATAVI WAHIMIZWA USAFI

Na.Issack Gerald-MPANDA. Wananchi Mkoani Katavi wametakiwa kuzingatia usafi wa Mwili Mazingira na Vyakula ili kujikinga na Maambukizi ya ugonjwa wa kipindupindu.

SPIKA BUNGE LA TANZANIA KUCHAGULIWA KESHO,SITTA NJE KINYANG'ANYIRO

Image
  Jengo la Bunge Mjini Dodoma Na.Mwandishi wetu-DODOMA Wabunge wateule wa bunge la 11 la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania wanatarajia kumchagua Spika wa Bunge hilo kesho Mjini Dodoma.

KATA YA SITALIKE KUKUSANYA MAPATO KUTOKA MIGODINI NA HIFADHINI

Na.Issack Gerald-NSIMBO UONGOZI wa Kata ya Sitalike wilayani Nsimbo mkoani Katavi, unatarajia kukusanya mapato kutoka kwa wawekezaji wa migodi pamoja na hifadhi ya taifa ili kuchangia maendeleo ya kata hiyo.

HALMASSHAURI YA MJI NJOMBE YAWAONYA WALIMU WAKUU WATAKAOFELISHA WANAFUNZI

Na.Mwandishi wetu-NJOMBE Halmashauri ya mji wa njombe imesema itaendelea kutoa adhabu za kuwa vua vyeo walimu wakuu ambao shule zao zinafelisha wananfunzi kuufikia wastani waliojiwekea ili kukuhakikisha halmashauri hiyo inangara kielimu kwa kufikia ufaulu wa juu.