Posts

ASKARI WA WANYAMAPORI KATAVI WALALAMIKIWA KWA UDHALILISHAJI WA RAIA NSIMBO

Na.Masoud Mmanywa-Nsimbo WAKAZI wa kijiji cha Mtisi Kata ya Stalike wilayani Nsimbo mkoani Katavi, wamewalalamikia askari wa Wanyamapori kwa kuwapiga na kuwajeruhi kwa madai ya kuwakuta wakilima katika eneo la hifadhi ya msitu.

MIL.80 ZATUMIKA KUSAIDIA KAYA 62 ZILIZOATHIRIWA NA MVUA,WAFANYABIASHARA NAO KUFANYIWA TATHMINI

Na.Issack Gerald-SUMBAWANGA Zaidi ya Shilingi Milioni 80 zimetumika kuwasaidia wahanga wa mvua iliyombatana na upepo Mkali Oktoba mosi mwaka huu.

WAFANYABIASHARA,WANUNUZI WAILALAMIKIA SERIKALI KUPANDISHA BEI YA BIDHAA

Na.Issack Gerald-MPANDA BAADHI ya Wanunuzi na wafanyabiashara wadogo wadogo wilayani Mpanda mkoani Katavi wameilalamikia serikali kutokana na kupandisha bei za bidhaa nchini kiasi kinachowafanya washindwe kuyamudu maisha yao.

WAKULIMA WAOMBA PEMBEJEO ZA KILIMO ZILETWE MAPEMA

Na. Lutakilwa Lutobeka - MPANDA Kucheleweshwa kwa pembejeo kwa wakulima imeelezwa kuwa ni sababu inayozorotesha sekta ya kilimo wilayani Mpanda, mkoani Katavi.

RUKWA WAJIPANGA KUHIFADHI MAZINGIRA

NA.Issack Gerald-SUMBAWANGA Mkoa wa Rukwa Umepanga kupanda miti milioni Tano na laki tano katika Halmshauri zake kwa mwaka wa 2015/2016 lengo likiwa ni kuhifadhi mazingira.

WAOMBA KIKAO CHA AMANI KATAVI

Image
  Picha ya pamoja kati ya wazee maarufu,viongozi wa kisiasa,dini na wafanyabisahara na Kamanda wa Polisi Mkoa ni Katavi Dhahirii Kidavashari mara baada ya kujadili mikakati ya kuimarisha amani na uasalama katika mkoa wa Katavi kuelekea uchaguzi Na.Issack Gerald-KATAVI Mkuu wa   Mkoani Katavi ameombwa kuitisha kikao maalumu kinachojumuisha tume ya taifa ya uchaguzi,wanasiasa na wazee maarufu Mkoani Katavi   ili kujadili namna ya kukabiliana na viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani vinavyojitkeza kwa sasa kuelekea uchaguzi Oktoba 25 mwaka huu.

SIKU YA MWALIMU YAZUNGUMZWA NA CWT KATAVI

NA.Issack Gerald-MPANDA Chama cha walimu CWT Mkoa wa Katavi kimesema kimefanikiwa katika masuala mbalimbali yakiwemo udhibiti wa wizi wa mishahara ya walimu,ujenzi wa benki ya mwamili tangu kuanzishwa kwake.