Posts

CHAMA CHA MADEREVA WAFANYAKAZI TANZANIA (TADWU) KUTOA TAMKO LEO KUHUSU MADEREVA NA WAAJIRI WAO

Image
CHAMA cha Madereva Wafanyakazi Tanzania (TADWU), kimesema madereva nchi nzima watakuwa mapumziko kwa wiki moja au zaidi kwa ajili ya kujiunga na mafunzo ya udereva.

MAJAMBAZI YAPORA ZAIDI YA SHILINGI MILIONI SABA,YAJERUHI PIA

Na.Issack Gerald-KATAVI Jeshi la Polisi Mkoani Katavi linawashikilia watu wanne Wilayani Mpanda kwa tuhuma za kujeruhi na kupora kiasi cha shilingi milioni saba.

SERIKALI,JAMII WAOMBWA KUWASAIDIA WATOTO YATIMA

NA.Issack Gerald-NSIMBO Serikali na Jamii kwa ujumla Mkoani Katavi imeombwa   kutoa misaada kwa watoto yatima na watoto wanaoishi katika mazingira hatarishi.

YASIKUPITE,MATUKIO WIKI HII KATAVI KATIKA SIASA,UCHUMI,MAKUNDI MAALUMU

SUALA LA SIASA Na.Issack Gerald-Katavi WAGOMBEA wa nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Katavi  wameaswa kuacha kutoa rushwa ili kujipatia ushindi katika uchaguzi ujao.

IGP MANGU AHIMIZA AMANI KATAVI

NA.Issack Gerald-Katavi MKUU wa jeshi la polisi nchini Inspekta jenerali Ernest Mangu, amesema kila mtu atimize wajibu wake ili kuhakikisha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, unafanyika kwa amani na utulivu.

WAKULIMA,WAFUGAJI MPANDA WATOA MAONI KUHUSU SHEREHE ZA NANENANE

NA.Issack Gerald-Mpanda SIKU mbili baada ya maonesho ya kilimo na ufugaji   maarufu kama nane nane, baadhi ya wakulima   pamoja na wafugaji Mkoani Katavi wametoa maoni na mapendekezo kuhusu sekta ya kilimo.

UHAKIKI DAFTARI LA MPIGA KURA NSIMBO WAFANYIKA

NA. Agness Mnub- KATAVI ZOEZI la Kuhakiki taarifa katika daftari la Kudumu la Mpiga Kura limeanza Katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi Kufuatia Tangazo lililotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi juu ya Zoezi hilo.