WANANDOA WAFA MAJI
Watu
wawili ambao ni wanaondoa wamefariki dunia katika Wilaya ya Ngorongoro mkoani
Arusha baada ya kuchukuliwa na mafuriko katika mto Piyaya Kata ya Piyaya
wilayani humo.
Picha hii haina uhusiano wowote na habari hii ni kuonesha picha maji tu |
Aidha,Kamanda Ilembo amewataja marehemu hao kuwa ni Ormins
Sunguyo na mkewe Nembris Sunguyo ambao walikuwa na mtoto wa mdogo aliyefahamika
kwa jina la Oloosukuta Sunguyo ambaye alinusurika kifo.
Kamanda Ilembo alitumia fursa hiyo kuwataka wananchi katika mkoa
wa Arusha kuchukua tahadhari kipindi hiki cha mvua na kuepuka kuvuka mito
wakati maji yanafurika.
Habari zaidi ni P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Comments