JESHI LA POLISI LAWAZUIA ACT-WAZALENDO KUFANYA MIKUTANO
Jeshi
la Polisi wilayani Mvomero Mkoani Morogoro limekitaka chama cha ACT Wazalendo
wilayani humo kusitisha kufanya mikutano ya ndani.
Katika
barua ambayo imeandikwa na kusainiwa na Lukindo
inaeleza kuwa Jeshi la Polisi kwa sasa linashughulikia kesi nyingi za kisiasa
hivyo ACT Wazalendo wanashauriwa kufanya mikutano hiyo siku za baadaye.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments