KIFO:MSANII RADIO AFARIKI DUNIA
Msanii wa muziki kutoka nchini
Uganda, Radio amefariki dunia.
Msanii huyo ambaye alikuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel,tangu
January 23 mwaka huu hali yake ilikuwa ikiripotiwa kuwa mbaya kufuatia majereha
aliyoyapata kutokana na ugomvi wa klabu.
Msanii huyo ambaye alikuwa akifanya vizuri na mwenzie Weasel,tangu
January 23 mwaka huu hali yake ilikuwa ikiripotiwa kuwa mbaya kufuatia majereha
aliyoyapata kutokana na ugomvi wa klabu.
Hapo jana Rais wa Uganda,Yoweri Museven alitoa Milioni
30 kwa ajili ya matibabu ya msanii huyo pia kulikuwa na maombi maalumu
yalikuwa yameandaliwa kwa ajili ya kumuombea ambayo yalitarajiwa kufanyika
February 4 mwaka huu katika kanisa la Light the World.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments