RAIS MAGUFULI AMEMTEUA DKT SLAA KUWA BALOZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.John Pombe amemteua Dkt.Wilbrod Peter Slaa kuwa Balozi.
Kwa mjibu wa mkurugenzi wa mawasiliano Ikulu ya Rais,Dkt.Wilbrod Peter Slaa ataapishwa baada ya taratibu kukamilika.
Habari zaidi ni P5TANZANI ALIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA