MKOA WA KATAVI UMEZINDUA SIKU 16 ZA KUPAMBA NA AKATIRI WA KIJINSIA
Na.Issack
Gerald
Mkoa
wa Katavi umezindua siku 16 za kupinga ukatiri wa Kijnsia uzinduzi ambao
umefanyika katika kata ya Kabungu wilayani Tanganyika ambapo kilele chake
kitakuwa Desemba 12 mwaka huu.
Akizungumza katika uzinduzi huo,kamanda
wa Polisi mkoani Katavi Damasi Nyanda amesema makosa ya ubakaji yamepungua
kutoka matukio 100 kwa mwaka na kufikia matukio 68 kwa mwaka huu ambayo
yameripotiwa.
Aidha Kamanda Nyanda amewapongeza
wananchi kwa kuendelea kushirikiana na jeshi hilo katika kutoa taarifa
mbalimbali ikiwepo za ukatili unaoendelea kutokea sehemu mbalimbali za mkoa
huu.
Kwa upande wao wanafunzi kutoka shule
mbalimbali za Mkoa wa Katavi katika risala yao wameomba mkoa kutafuta njia za kupunguza
au kumaliza tatizo la mimba za utotoni kwa kuwa ni miongoni mwa sababu inayosababisha
vifo kwa watoto wengi kutokana na uzazi.
Kwa upande wake mkuu wa mkoa wa
katavi Meja jenerali Rafaeli Muhuga mgeni rasmi katika uzinduzi huo amewataka
wananchi kuacha kufuata mila potofu zinazopelekea matukio kikatili.
Uzinduzi huu ufanyika samabamba na
mkoas wa katavi Kuanzimisha miaka 5 tangu ulipopewa hadhi ya kuwa Mkoa Novemba
25,2012.
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments