PICHA ZA MACHINJIO YA MPANDA HOTEL YALIYOKUWA YAMEZUIWA MANISPAA YA MPANDA MKOANI KATAVI

Moja ya bucha manispaa ya Mpanda


Watu wakijipatia kitoweo baada  ya machnjio kufunguliwa jana

Benezeti Kusaya mwenyekiti wa wafanyakazi machinjioni


Jengo la machinjio Mpanda

Nembo ya mamlaka ya chakula na dawa Tanzania TFDA iliyokuwa imebandikwa katika kuta za machinjio baada ya machinjio hayo kufungwa


Mazingira ya machinjio

Sehemu wanakopanga nyama asubuhi




Vijana baada ya kikao cha kuhamasisha usafi machinjioni
Shimo la kutunza uchafu machinjioni lililokuwa limejaa na kuanza kutiririsha uchafu mtoni

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA