Posts

WIZARA YA AFYA,MAENDELEO YA JAMII,JINSIA, WAZEE NA WATOTO YATOA TAARIFA KUHUSU SIKU YA KIMATAIFA YA MTOTO WA KIKE KITAIFA

Na.Issack Gerald Mkoa wa Katavi umeendelea kutajwa kuwa kinara wa mimba za utotoni kwa asilimia 45.

IDADI YA WALIOKUFA AJALI YA HIACE YAFIKIA 12

Image
Idadi ya watu waliokufa baada ya Toyota Hiace kuzama Ziwa Victoria imeongezeka na kufikia 12.

ASKARI WA WANYAMAPORI MKOANI KATAVI WATUHUMIWA KUUWA NA KUJERUHI

MTU mmoja amepoteza maisha kwa madai ya kupigwa risasi na askari wa maliasili  na wengine wanne kujeruhiwa katika kitongoji cha Mnyamasi wilayani Tanganyika mkoani Katavi,wakati wa oparesheni ya kuwaondoa wakazi wanaodaiwa kuvamia msitu wa hifadhi

HALMASHAURI YA WILAYA YA NSIMBO YAKABIDHI MSAADA WA BAISKELI 20 ZENYE THAMANI YA MILIONI 11 KWA WATU WENYE ULEMAVU

Na.Issack Gerald-Nsimbo Katavi HALMASHAURI ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi,imekabidhi msaada wa baiskeli ishirini za tairi tatu zenye thamani ya shilingi milioni kumi na moja kwa watu wenye ulemavu katika halmashauri hiyo.

ORODHA KAMILI YA BARAZA JIPYA LA MAWAZIRI WA RAIS MAGUFULI ALILOTANGAZA LEO

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi Rais Dkt John Magufuli wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe Magufuli  leo amefanya mabadiliko katika Baraza la Mawaziri kwa kuongeza idadi ya Wizara, kuteua Mawaziri na Naibu Mawaziri wapya na kuwahamisha Wizara baadhi ya Mawaziri na Naibu Mawaziri.

ZAIDI YA SHILINGI BILIONI 11 KUBORESHA MIUNDOMBINU YA BARABARA MANISPAA YA MPANDA

Image
Jengo la Ofisi za Manispaa ya Mpanda na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Katavi Na.Issack Gerald-Katavi Zaidi ya shilingi bilioni 11,750,000,000  zimetengwa kwa ajili ya kuboresha barabara katika Halmashauri ya Manispaa ya  Mpanda Mkoani Katavi.

BREAKING NEWS: RAIS MAGUFULI AFANYA MABADILIKO KATIKA BARAZA LA MAWAZIRI,ATEUA PIA MAWAZIRI

Image
Rais Dkt John Magufuli wa Tanzania Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli,amefanya mabadiliko ya Baraza la Mawaziri.