Posts

WATANO KATAVI WAHUKUMIWA MIAKA 5-20 KWA TUHUMA ZA NYARA ZA SERIKALI,MWINGINE AACHIWA HURU,WAKILI WAO ASEMA WATAKATA RUFAA

Na.Vumilia Abel-Mpanda MAHAKAMA ya wilaya mkoani Katavi imewahukumu watu 5 miaka 5 hadi 20   na mmoja kuachiwa huru waliokuwa wakikabiliwa na   makosa matatu tofauti likiwemo la kukutwa na nyara za serikali bila kibali.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUWASILI KATAVI KESHO,WANAKATAVI WAOMBWA KUJITOKEZA KUMPOKEA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi MKUU wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Muhuga   ametoa rai kwa wananchi Mkoani Katavi kujitokeza kwa wingi kumpokea waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa anayetarajia kuwasili kesho kwa ndege Mkoani Katavi kwa Ziara ya kikazi ya siku nne. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald) Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majliwa(PICHA NA.Issack Gerald)                                          

AFISA MTENDAJI WA KIJIJI APEWA WIKI MBILI KUWAONDOA WAKAZI WALIOVAMIA MISITU NA KUFANYA MAKAZI,MKUU WA WILAYA YA TANGANYIKA PIA AZUNGUMZIA ZIARA YA WAZIRI MKUU KATIKA WILAYA YAKE

Na.Issack Gerald Bathromeo MKUU wa wilaya ya Tanganyika Saleh Muhando ametoa wiki mbili kwa Afisa mtendaji wa kijiji cha Mpembe kata ya Katuma kuhakikisha anawaondoa wananchi waliovamia misitu na   kufanya makazi.

WAZIRI MKUU KASSIM MAJALIWA KUANZA ZIARA KATAVI JUMAMOSI HII,KUTEMBELEA MAJIMBO YOTE MATANO YA MKOA WA KATAVI,SEHEMU YA RATIBA P5 TANZANIA IMEKUSOGEZEA HII HAPA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mh.Kassim Majaliwa anatarajia kuanza ziara ya kikazi Mkoani Katavi. Waziri Mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa                                        

HALMSHAURI ZA WILAYA YA MPANDA NA TANGANYIKA ZATAKIWA KUTENGA 5% YA MAPATO KWA AJILI YA WAJASILIMALI VIJANA

Image
Na.Richard Mbeho-Mpanda HALMASHAURI ya Wilaya ya Mpanda na Tanganyika zimetakiwa   kutenga asilimia 5 za mapato ya ndani kwa ajili ya kuwasaidia vijana kuanzisha miradi mbalimbali itakayo wawezesha kujikwamua kiuchumi. Baadhi ya vijana Wilaya za Tanganyika na Mpanda wakiwa kati mikutano ya hadhara(PICHA NA.Issack Gerald)                                                         

WAJASILIMALI KATAVI WATAKIWA KUTUMIA ELIMU YA UJASILIMALI WANAYOPATA KUFANYA SHUGHULI ZA MAENDELEO KUJIKWAMUA KIMAISHA

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Mpanda WAJASILIAMALI wametakiwa kutumia elimu ya ujasiliamali wanayopewa katika mafunzo ili kujikwamua kimaisha. Wajasilimali wanawake baada ya somo la mafunzo ya ujasiliamali(PICH ANA.Issack Gerald)