Posts

MATUKIO MBALIMBALI KATIKA PICHA MKOANI WAKATI WA HAFLA YA KUPOKEA MADAWATI UWANJA WA SHULE YA MSINGI KASHAULILI

Image
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga katika viwanja vya shule ya msingi Kashaulili akikabidhi msaada wa madawati 327(146 Mbunge viti maalumu Mh.Anna Lupembe na 181 mbunge Mpanda Mjini Mh.Sebastian Kapufi).Pia Mbunge Anna Lupembe alitoa msaada wa Shilingi Milioni 4 kwa vikundi 40 vya wajasiliamali wanawake Manispaa ya Mpanda na Baiskeli tatu za walemavu.Jumla Mh.Lupembe alichangia vitu vya thamani ya milioni 10 ukiondoa milioni 4 za wajasiliamali(PICHA ZOTE NA.Issack Gerald) Katikati ni Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga akiwa mgeni rasmi akikabidhiwa madawati 327 kutoka kwa wabunge Mh.Anna Lupembe(viti maalumu Katavi) na Sebastian Simon Kapufi(Mbunge Mpanda Mjini),pia mabati yenye thamani ya shilingi milioni mbili.Wa kwanza Kulia ni Mstahiki Meya wa Manispaa ya Mpanda Mh.Willium Mbogo na wakwanza kushoto ni Mh.Anna Lupembe mbunge viti maalumu Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)Julai 26,2016 Wa pili kutoka Kushoto(m...

ZAIDI YA SHILINGI MILIONI 70 CHACHANGWA UANZISHWAJI BENKI YA WANANCHI KATAVI,WAZIRI MKUU PINDA APIGIA DEBE WANAWAKE KUPEWA KIPAUMBELE KATIKA BENKI HIYO.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo Zaidi ya shilingi Milioni 70 zimechangwa na wadau wa maendeleo Mkoani Katavi kwa ajili ya kuanzisha BENKI YA WANANCHI MKOANI KATAVI. Waziri Mkuu Mstaafu wa Tanzania wa awamu ya NNE(wa kwanza kulia mwenye shati nyeupe) akiwa katika mkutano wa uanzishwaji wa benki ya wananchi Katavi(PICHA NA.Issack Gerald  

BALAZA LA MADIWANI LAOMBA SHERIA ZA ZIMAMOTO KUPITIWA UPYA,MBUNGE VITI MAALUMU PAMOJA NA MAMBO MENGINE KULISEMA BUNGENI.

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi BARAZA la madiwani la Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi limeliomba jeshi la zimamoto na uokoaji   Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi kupitia upya sheria inayomtaka mwananchi kuchangia kiasi kikubwa cha fedha ukilinganisha na uwezo wa mwananchi kumudu gharama hizo kwa mwaka. Wataalamu mbalimbali katika Manispaa ya Mpanda wakishiriki kikao cha mwaka cha Baraza la madiwani Manispaa ya Mpanda(PICHA NA.Issack Gerald)

MKOA WA KATAVI KUANZISHA BENKI YA WANANCHI

Image
Na.Issack Gerald Bathromeo-Katavi Mkoa wa Katavi umepanga kuanzisha benki ya wananchi kwa ajili kurahisisha na kuharakisha maendeleo ya wakazi wa Mkoa wa Katavi. Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jeneral Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga akizungumza na waandishi wa habari Ofisini kwake (hawapo pichani) kuhusu uanzishwaji wa benki ya wananchi(PICHA NA.Issack Gerald) Mwenyekiti wa kamati ya Waratibu wa Benki ya wananchi Mkoa wa Katavi                              

MKUU WA MKOA WA KATAVI KUZUNGUMZA NA WAANDISHI WA HABARI KUHUSU UANZISHWAJI BENKI YA WANANCHI.

Image
Mkuu wa Mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga   leo anataraji kukutana na kuzungumza na vyombo vy ahabari ili kueleza mikakati ya uanzishwaji wa benki ya Wananchi Mkoani Katavi. Ofisi za mkuu wa Mkoa(PICHA NA.Issack Gerald

MBUNGE VITI MAALUMU MPANDA AMWAGA MSAADA WA FEDHA NA BAISKEL KWA WANAWAKE

Image
Wanawake wajasiliamali wakiwa katika mkutano na mbunge viti maalumu Mh.Anna Lupembe(PICHA NA.Issack Gerald)                                         Mbunge viti maalumu akizungumza na wanawake wajasiliamali katika viwanja vya shule ya Msingi Kashato(PICHA NA.Issack Gerald)                                       MBUNGE wa Wakati huo huo Mh.Anna Lupembe amekabidhi Shilingi milioni 4 kwa vikundi 40 kati ya 80 vya wanawake   alivyoviunda na kuvipatia elimu ya ujasiliamali Aprili mwaka huu.

MANISPAA YA MPANDA 2016 YAPANGA KUFAULISHA WANAFUNZI KWA 98% KWA SHULE ZA MSINGI

Image
MANISPAA ya Mpanda iliyopo Mkoani Katavi imepanga kufaulisha wanafunzi wa shule za msingi kwa asilimia 98. Baadhi ya wanafunzi Shule ya Msingi Nsemulwa Manispaa ya Mpanda wakiwa darasani(PICHA NA.Issack Gerald)