Posts

CHANGAMOTO LUKUKI ZAENDELEA KUKWAMISHA MAENDELEO YA WANANCHI KATA YA ITENKA.

Wakazi wa kata ya Itenka iliyopo Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Wilayani Mlele Mkoani Katavi,wameiomba Serikali ya halmshauri ya Wilaya ya Nsimbo kutatua changamoto za miundombinu ya barabara kuanzia Mpanda Mjini hadi Itenka.

CWT KATAVI KUPIGANIA HAKI ZA WALIMU WANAWAKE

CHAMA cha walimu CWT mkoani katavi kimesema kitahakikisha kinapigania maslahi ya walimu wanawake makazini kwa sababu ya mchango kubwa walionao katika jamii.

MIL.52 KUTUMIKA KUJENGA VYUMBA VYA SHULE YA MSINGI KASEKESE

Image
SHULE ya msingi kasekese iliyopo kata ya kasekese wilaya mpya ya Tanganyika mkoani katavi wametengewa fedha kiasi cha shillingi milion 52 kwa ajili ya kutatua changamoto ya vyumba vya madarasa. Kauli hiyo imetolewa na mbunge wa mpanda   vijijini Mh.Suleman Kakoso baada ya kutembelea    kijijini hapo kwa lengo la kuwashukuru wananchi kwa kumchagua. Baadhi ya wakazi wa Kijiji cha Kasekese kata ya Kasekese(PICHA NA Issack Gerald)                                                          

SIKILIZA SAUTI YA HOTUBA YA RAIS MAGUFULI AKIWAAPISHA WAKURUGENZI HALMASHAURI ZA WILAYA,MIJI,MANISPAA NA MAJIJI JULAI 12,2016

WAKATI Rais John Pombe Magufuli akiwaapisha wakurugenzi alitamka haya                                                                             

RAIS DKT.JOHN POMBE MAGUFULI AZINDUA MPANGO WA UGAWAJI MADAWATI,MKOA WA KATAVI KATIKA MGAO AWAMU YA KWANZA

Image
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli amezindua mpango wa ugawaji wa madawati yanayotengenezwa kutokana na fedha zilizotolewa na Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania baada ya kubana matumizi katika bajeti yake.                          

WAKAZI KIJIJI CHA KAKESE MANISPAA YA MPANDA WAELMISHWA KUTUNZA VYANZO VYA MAJI

Image
WAKAZI wa kijiji cha Mbugani kata ya Kakese Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi wameaswa kutunza vyanzo vya maji vilivyopo bonde la Mto Mpanda. Picha na p5 tanzania                                                     Picha na P5 tanzania                                                    

MIRADI 9 YAZINDULIWA NA MWENGE WA UHURU MANISPAA YA MPANDA

Image
ZAIDI ya miradi 9 ikiwemo Stendi Mpya ya kisasa ya mabasi katika Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi imezinduliwa leo. Vijana wakimbiza mwenge wa uhuru(PICHA NA Issack Gerald)