Posts

HALI YA UKAHABA NCHINI TANZANIA

Image
Wasichana wapatao 500 wanaodaiwa kufanya biashara ya ukahaba nchini Tanzania pamoja na wateja wao zaidi ya 200 wanashikiliwa na polisi nchini. Walikamatwa kufuatia msako unaoendelea kukomesha biashara hiyo ambayo haikubaliki kwa mujibu wa sheria nchini humo. Hii ni idadi kubwa kuwahi kukamatwa katika vita dhidi ya biashara ya ukahaba nchini humo.                                                      Kamanda wa Polisi Kanda Maalumu ya Dar es Salaam Simon Sirro

WANANCHI KATAVI WAPONGEZA HOTUBA YA RAIS

Image
Na.Issack Gerald-Katavi BAADHI Ya wakazi Mkoani Katavi wamepongeza agizo la   Rais John Pombe Magufuli kwa wakuu wa Mikoa Kuhakikisha Kila mtanzania anafanya Kazi.                                                   Baadhi ya wakazi wa Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi

WAWILI WAFIKISHWA MAHAKAMANI MPANDA WAKITUHUMIWA WIZI WA FEDHA KWA KUTUMIA SIMU

Na.Issack Gerald-Mpanda Watu wawili wakazi wa kijiji cha Ikaka   kata ya Mnyagala wilayani Mpanda mkoani Katavi,wamefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda wakikabiliwa na shtaka la wizi wa fedha kwa njia ya simu   ambayo ni mali ya Charles Lubasha mkazi wa Kakese.

WAKUU WAPYA WA MIKOA WAAPISHWA,HOTUBA YA RAIS MAGUFULI KITANZI KWAO

Image
Na.Issack Gerald Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dr John Pombe Magufuli ametoa siku kumi na tano kwa Wakurugenzi wa halamshauri zote nchini Kufuta Majina ya Wafanyakazi hewa wanaolipwa Mishaha.                                             Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt John Pombe Magufuli akimuapisha Meja Jenerali Mstaafu Raphael Mugoya Muhuga kuwa mkuu wa mkoa wa Katavi,Hafla hiyo fupi ya kuwaapisha Wakuu hao wa Mikoa imefanyika leo Ikulu,jijini Dar na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali wa Serikali.

WANANCHI WAIOMBA SERIKALI WILAYANI MPANDA KUSAJIRI SHULE WALIYOIANZISHA KWA AJILI YA WATOTO

Na.Vumilia Abel-Mpanda WANANCHI wa Kijiji cha Ikaka A Kata ya Ikaka Wilayani   Mpanda Mkoani Katavi wameiomba serikali   kusajiri   shule iliyoanzishwa kwa nguvu za wananchi pamoja na kutatua changamoto za kielimu zinazowakabili kijijini hapo.

AFIKISHWA MAHAKAMANI KWA TUHUMA YA UCHOMAJI NYUMBA MPANDA

Na.Mgeni Shabaani-Mpanda MTU mmoja mkazi wa tambukareli Kata ya Mpanda Hoteli Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi amefikishwa katika mahakama ya mwanzo mjini Mpanda akikabiliwa na shtaka la kuchoma moto nyumba na mali ya Anatalia Golikondwe mkazi wa tambuka reli.

UTEUZI WAKUU WA MIKOA RUKWA,KATAVI,KIGOMA NA KAGERA WANAJESHI WATUPU(KATIBU TAWALA NA MKUU WA MKOA KATAVI NI MAJENERALI WA JESHI)

Image
Na.Issack Gerald Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dk.John Pombe Magufuli Machi 13 amefanya uteuzi wa wakuu wa Mikoa 26 wakiwemo 13 wapya na 13 waliokuwa katika serikali ya awamu ya nne ya serikali iliyokuwa ikiongozwa na Rais Dk.Jakaya Mrisho Kikwete.                                                        Mkuu wa Mkoa wa Mpya wa Mkoa wa Katavi Jeneral Raphael Mugoya Muhuga(PICHA NA.Issack Gerald)                                             Jeneali Paul Chagonja Katibu Tawala Mpya Mkoa wa Katavi aliyeteuliwa Januari 29,2016 (PICHA NA.Issack Gerald)            ...