Posts

WABUNGE VITI MAALUM MPANDA WATEMBELEA HOSPITALI YA WILAYA YA MPANDA,WATOA MSAADA WAAHIDI MAKUBWA.

Na.Meshack Ngumba-Mpanda SERIKALI imeshauriwa kufanyia kazi changamoto zilizopo katika hospitali ya wilaya ya Mpanda ili kuwawezesha wananchi kupata huduma bora za afya.

SERIKALI YATENGA SH. BILIONI 1.6 VYUO VYA UALIMU

WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali imetenga kiasi cha sh. bilioni 1.65/- kwa ajili ya mafunzo kwa vitendo kwenye vyuo vya walimu hapa nchini.

JIPU KUBWA MPANDA KATAVI LATUMBULIWA,WATUMISHI 16 NJE,TUME KUANZA KAZI YAKE WATAKAOBAINIKA SHERIA ZANOLEWA YUMO NA MWANASHERIA WA MANISPAA YA MPANDA.

Na.Issack Gerald-Mpanda BALAZA la Madiwani Katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi ,limewasimamisha kazi watumishi 16 wa Manispaa hiyo kwa tuhuma mbalimbali ikiwemo utumiaji ovyo wa fedha za manunuzi ya gari la kuzoa taka pamoja na ubadhilifu wa fedha ya skimu ya umwagiliaji maji ya kakese.

SILAHA 4 ZAKAMATWA KATAVI ZIPO MBILI ZA KIVITA WAMILIKI WAKE WATELEKEZA PIA PIKIPIKI WATOKOMEA KUSIKOJULIKANA WENYE GOBOLE WAO WADAKWA NA POLISI.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Jeshi la polisi Mkoani Katavi,limekamata silaha nne zikiwemo silaha mbili za kivita aina ya SMG na pikipiki moja aina ya Huoniao yenye namba za usajili T.948BHU za watu wanaosadikika kuwa ni majambazi.                                                 Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavoi ACP Rashid Mohamed akiwa ameshika silaha aina ya SMG za kivita zilizokamatwa kwa watuhumiwa wakiwa katika harakati za kufanya uharifu.(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Watuhumiwa waliokamtwa na silaha mbili aina ya gobole(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Kamanda Msaidizi wa Polisi Mkoani Katavi ACP Rashid Mohamed akionesha miongoni mwa silaha ambazo zimekamatwa(PICHA NA.Issack Gerald Februari 26,2016) Katika picha ni Silaha aina ya SMG ambazo ni za kivita zikiwa ni miongoni mwa silaha 4 ambazo zimekamatwa (PICHA NA.Is...

MAFUNZO YA SIKU 3 KUHUSU UTUNZAJI WA FEDHA NA MALI ZA UMMA KWA WATUMISHI WA MAHAKAMA YAANZA KATAVI.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi MAHAKAMA ya Tanzania    imeanza   mafunzo ya siku 3   kuanzia leo hadi February 27 juu ya utunzaji wa fedha na mali ya umma kwa watumishi wa mahakama ya Tanzania mkoani Katavi katika ukumbi wa ofisi ya mkuu wa wilaya ya Mpanda.                                                  

MTOTO MWENYE MIAKA 03 AUWAWA KIFO CHA UTATA KATAVI,WAZAZI WAKAA NA MAITI NDANI YA NYUMBA KWA SIKU 4,MAJIRANI WARIPOTI TUKIO POLISI BAADA YA KUKERWA NA HARUFU MBAYA

Image
Na.Issack Gerald-Mpanda Katavi WATU wawili ambao ni wazazi wa mtoto aliyefahamika kwa jina la Justina Laurent (3) wanashikiliwa na jeshi la polisi Mkoani Katavi kwa kusababisha kifo cha mtoto huyo ambaye aligundulika akiwa amefariki dunia ndani ya chumba cha wazazi wake huku akiwa na majeraha sehemu mbalimbali za mwili wake.

ZOEZI LA KUWAFILISI WENYE MAKONTENA KUANZA LEO.

Image
WADAIWA 16 waliokwepa kulipa kodi ya Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA), baada ya kutorosha kontena za mizigo yao kwenye Bandari Kavu (ICD) ya Azam mwishoni mwa mwaka jana, mali zao zinaanza kukamatwa leo na kufilisiwa.                                                         Baadhi ya Makontena yaliyokamatwa bandarini