Posts

KIKAO CHA WATALAAMU,WATENDAJI NA WAKUU WA IDARA MBALIMBALI MANISPAA YA MPANDA KUFANYIKA KESHO.

Na.Issack Gerald-Mpanda Kikao cha kujadili masuala mbalimbali ya maendeleo katika Manispaa ya Mpanda kinatarajia kufanyika kesho.

MATUKIO YA WIKI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA FEBRUARI 8—13,2016.

Image
MKUU WA WILAYA YA MLELE ATOA SIKU 4 KWA MAAFISA HALMASHAURI ZA WILAYA ZA NSIMBO,MPIMBWE NA MLELE WAWE WAMEKABIDHI TAARIFA YA MADAWATI SHULE ZA MSINGI NA SEKONDARI Posted By: Issack Gerald | At: Tuesday, February 09, 2016 Na. Agness Mnubi-Nsimbo MAAFISA tarafa,Watendaji wa kata na vijiji wa Halmashauri za Nsimbo,Mlele na Mpimbwe wamepewa siku 4 za kutembelea shule za Msingi na Sekondari zilizopo katika Halmashauri zao ili kubaini upungufu wa madawati.                                                  

IDARA YA ELIMU YATOA TAARIFA RASMI MFUMO MPYA WA WANAFUNZI SHULE ZA MSINGI KUFANYA MITHANI MWAKA 2016 MPANDA,SHULE ZISIZOSAJILIWA NJIAPANDA

Na.Issack Gerald-Mpanda Idara ya elimu Shule za Msingi katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi,imewataka wazazi na walezi wa watoto wanaosoma katika shule ambazo hazijasajiliwa mkoani katavi ikisema kuwa kuna uwezekano wa wa kupoteza pesa nyingi na wanafunzi kukosa nafasi ya kufanya mitihani mbalimbali ya shule ya msingi inayotambuliwa na Wizara ya elimu,Sayansi,Teknolojia na ufundi.

SERIKALI YAWASIMAMISHA KAZI WATENDAJI WAKALA WA VIPIMO TANZANIA

Image
Na.Issack Gerald SERIKALI imeamua kuwasimamisha kazi watendaji wawili kutoka Wakala wa Vipimo nchini (WMA) kuanzia leo ili kupisha uchunguzi wa upotevu wa mafuta bandarini kutokana na zuio la kufunga kwa mita kwa zaidi ya miaka mitano.                                        Waziri mkuu wa Tanzania Kassim Majaliwa akipata maelezo bandarini jana Februari 11 kutoka kwa watendaji katika bandari hiyo

MTANDAO WA RADIO ZA JAMII (COMNETA) WAZUNGUMZIA SIKU YA RADIO DUNIANI INAYOFANYIKA FEBRUARI 13,KILA MWAKA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Mtandao wa Radio za Jamii Tanzania (COMNETA) umetoa rai kwa viongozi wa ngazi mbalimbali kuanzia ngazi ya seriklai za mitaa mpaka ngazi ya taifa,kutumia radio mara kwa mara kwa lengo la kuelimisha na kufikisha ujumbe katika jamii kuliko kiongozi kutumia radio kwa wakati Fulani kwa maslahi binafsi.                                           Mwenyekiti wa Radio za kijamii Bw.Joseph Sekiku hivi karibuni (Aliyesimama) akizungmzia masuala yanayohusu radio za kijamii Jijini Dar es Salaam

HABARI YA ASKARI WA KIKE WA USALAMA BARABARANI KUTEKETEA KWA MOTO NA MPENZI WAKE MKOANI RUKWA HII HAPA,PIA UTAJUA KILICHOTOKEA KWA WATOTO WAWILI WADOGO WALIKUWEMO

Image
Na.Issack Gerald-Rukwa ASKARI wa kike wa Usalama Barabarani, Attuganile Mwakibete (37) na mpenzi wake Sunday Mhagama (36), wameteketea kwa moto baada ya nyumba walimokuwa ndani kuungua.                                                        Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoani Rukwa Jacob Mwaruanda (PICHA NA Issack Gerald)

RIPOTI YA PILI AJALI MTO KOGA : MIILI YA WATU WALIOKUFA MAJI MTO KOGA HADI SASA HAWAJAPATIKANA NA GARI WALILOKUWA WAKISAFIRIA.

Image
Na.Issack Gerald-Katavi Miili 5 ya watu waliozama katika mto Koga uliopo mpakani mwa Mkoa wa Tabora na Katavi baada ya gari walilokuwa wakisafiria kusombwa na maji tarehe Januari 26 ,2016 hawajapatikana pamoja na gari walilokuwa wakisafiria.                                             Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Ibrahim Hamis Msengi(PICHA NA Issack Gerald)