Posts

MATUKIO YA WIKI KATAVI NA TANZANIA KWA UJUMLA FEBRUARI 01—06 ,2016

Na.Issack Gerald-Katavi Monday, 1 February 2016 JAMII KATAVI YATAKIWA KUTAMBUA HAKI YA ELIMU KWA WATOTO WENYE ULEMAVU Posted By: Issack Gerald | At: Monday, February 01, 2016

CHENJI YA SHILINGI 500/=MKAZI SUMBAWANGA AHUKUMIWA MIAKA 10 KWA KUUA BILA KUKUSUDIA.

Na.Issack Gerald-Sumbawanga MAHAKAMA Kuu Kanda ya Sumbawanga mkoani Rukwa imemhukumu kifungo cha miaka 10, mkazi wa kijiji cha Kazila Lizberth Fredinad (21) baada ya kupatikana na hatia ya kumuua Charles Abel bila kukusudia.

HOTUBA YA MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 5 FEBRUARI, 2016

Image
Na.Issack Gerald - Dodoma HOTUBA YA MHE. KASSIM MAJALIWA MAJALIWA (MB), WAZIRI MKUU WA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA, WAKATI WA KUHITIMISHA SHUGHULI ZA MKUTANO WA PILI WA BUNGE LA JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA TAREHE 5 FEBRUARI, 2016 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa akiahirisha mkutano wa pili wa bunge la Jamhuri ya muungano wa Tanzania bunge la 11 mjini Dodoma leo hadi Aprili 19 2016 utakapofanyika mkutano mwingine

PICHA ZA SIKU YA SHERIA DUNIANI MKOANI KATAVI

Image
Picha ya pamoja watumishi wa mahakama na wadau wengine wa sheria,wa tatu kutoka (kushoto) waliokaa ni mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Yahya Hussein akimwakilisha Mkuu wa Mkoa na Mwanake pekee katika Picha ni Farhat Seif wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoani Katavi(PICHA na Issack Gerald) Picha ya pamoja watumishi wa mahakama na wadau wengine wa sheria,wa tatu kutoka (kushoto) ni mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Yahya Hussein akimwakilisha Mkuu wa Mkoa na Mwanake pekee katika Picha ni Farhat Seif wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoani Katavi(PICHA na Issack Gerald) Picha ya pamoja watumishi wa mahakama na wadau wengine wa sheria,wa tatu kutoka (kushoto) ni mgeni rasmi wa sherehe hizo ambaye ni Mganga Mkuu wa Mkoa wa Katavi Dk.Yahya Hussein akimwakilisha Mkuu wa Mkoa na Mwanake pekee katika Picha ni Farhat Seif wakili wa Serikali Mfawidhi Mkoani Katavi(PICHA na Issack Gerald) Vijana wa sarakasi...

KUJENGWA MAHAKAMA KATIKA MAKAZI MAPYA YA KATUMBA NA MISHAMO KATAVI KWAPUNGUZA UHARIFU

Na.Issack Gerald-Mpanda Kujengwa kwa mahakama ya mwanzo katika eneo la makazi ya Mishamo na Katumba kumepunguza kiwango cha uharifu ambao umekuwa ujitokeza katika makazi hayo.

ASASI ZA BINAFSI ZA KIRAIA NA SERIKALI ZAAGIZWA KUELIMISHA JAMII MASUALA YA SHERIA KATAVI,RAIS MAGUFULI NAYE ATOA AGIZO KALI DAR,MAHAKAMA YA MAFISADI KUJENGWA MWAKA HUU

Image
Na.Issack Gerald- Katavi Asasi za kiraia na zile za serikali zikiwemo vyombo vya habari, wanaharakati wa haki za binadamu wametakiwa kushirikiana kwa pamoja kuelimisha jamii juu ya kanuni zinazotumika kushughulikia kudai haki za madai na jinai kwa mjibu wa kanuni na sheria hapa nchini.                                             

WABUNGE KATAVI WACHACHAMALIA MAJI,UMEME BARABARA

Na.Issack Gerald-Bungeni Dodoma (Kuhusu Katavi). SERIKALI imeanza mikakati ya kukamilisha miradi ya maji   ili wananchi wapate maji kama ilivyo kusudiwa.