WAWILI MPANDA WAUAWA,WAUAJI WATOKOMEA KUSIKOJULIKANA NAO POLISI WASEMA HAPA KAZI TU
Na.Issack Gerald-MPANDA Watu wawili wamekutwa wakiwa wameuawa na watu wasiojulikana Wilayani Mpanda Mkoani Katavi baada ya kukatwa na vitu vyenye ncha kali Januari Mosi Mwaka huu.