Posts

RIPOTI YA KUKAMATWA KWA WATUHUMIWA WA NYARA ZA SERIKALI KATAVI HII HAPA KUANZIA DESEMBA 24,2014--DESEMBA 30,2015

Image
Na.Issack Gerald-Katavi JESHI la Polisi mkoani Katavi kwa kushirikiana na askari wa Shirika la Hifadhi za Taifa (TANAPA), wamefanikisha kukamata watu 11 wanaohutumiwa kumiliki nyara za serikali, yakiwemo meno ya tembo yenye thamani ya zaidi ya Sh milioni 532.5 kati ya Desemba 24, 2014 na Desemba 30 mwaka 2015.                                                                Kamanda wa polisi Mkoani Katavi Dhahiri Kidavashari (PICHA na Issack Gerald)

MAKATIBU WAKUU NA NAIBU KATIBU WAKUU WAAPISHWA,WAZIRI MKUU AWAPONGEZA

Image
Na.Ofisi ya waziri Mkuu. WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amewapongeza Makatibu Wakuu na Naibu Katibu Wakuu, mara baada ya kuapishwa Ikulu leo jijini Dar es Salaam.                                                     Waziri Mkuu Mhe Kassim Majaliwa akiongea na Makatibu wakuu na Naibu Katibu wakuu baada ya kusaini Hati ya Maadili ya Umma mara tu baada ya kuapishwa Ikulu jijini Dar es salaam leo January 1, 2016                                                       Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Katiba na Sheria,Amon Mpanju akila kiapo cha utii mbele ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tan...

WAZIRI MKUU AHITIMISHA ZIARA YA SIKU MBILI KIGOMA ATAJA MKAKATI WA SERIKLAI KUPANUA BANDARI ZIWANI TANGANYIKA

Image
Na.Issack Gerald-KIGOMA WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameipongeza Halimashauri ya Manispa Kigoma Ujiji kwa kubuni miradi mbalimbali ya biashara katika ziwa Tanganyika na   tekinolojia mpya ya kukausha dagaa wanaovuliwa katika ziwa hilo.                                                Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akikagua dagaa wanaokaushwa kitalaam kwa kutumia jua  wakati  alipozindua soko na mwaro wa kisasa wa samaki wa Kibirizi  mjini Kigom. Picha na ofisi ya Waziri Mkuu)

WAKAZI LAKI MBILI (200,000) WATESWA NA NJAA JIMBO LA UYUI TABAORA BAADHI HAWANA HATA UWEZO WA KUNUNUA KWA BEI NAFUU

Image
Na.Issack Gerald-Tabora Watu  zaidi ya 200,000 katika jimbo la Igalula Wilayani Uyui Mkoani Tabora wanakabiliwa na uhaba wa chakula ambapo zaidi ya wakazi 20,000 wakiwa hawana uwezo wakununua hata chakula cha kwa bei nafuu.

KATIBU TAWALA KIGOMA APEWA SIKU MBILI KUKABIDHI TAARIFA YA MAANDI YA UBADHIRIFU KWA WAZIRI MKUU MAJALIWA

Image
Na.Ofisi ya mawasiliano ya Waziri Mkuu WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa ametoa siku mbili kwa Katibu Tawala wa Mkoa wa Kigoma, Eng. John Ndunguru kukamilisha uchunguzi wake na kumpatia taarifa ya maandishi juu ya tuhuma ubadhirifu wa fedha za umma unaohusisha uuzwaji wa jengo la KIGODECO na viwanja 12 vya Manispaa ya Kigoma/Ujiji ambao unadaiwa kukiuka taratibu.                                                                               Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma .Kushoto ni Mkuu wa Mkoa huo Issa Waziri Mkuu, Kassim Majliwa akizindua soko na Mwaro wa samaki wa Kibirizi mjini Kigoma Desemba 28 , 2015. (Picha na Ofisi ya Waziri Mkuu)

MTAFARUKU BAINA YA MANESI NA WANANCHI WANAOHITAJI HUDUMA HOSPITALINI MLELE.

Na.Suzan Kanenka-Mlele Upungufu wa Manesi(wauguzi) katika kitengo cha huduma ya afya ya uzazi katika hospitali ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi,umezua mtafaruku baina ya wahudumu wa kitengo hicho na wananchi wanaostahili huduma hiyo.

WANANCHI KATAVI WAIOMBA SERIKALI YA AWAMU YA TANO CHINI YA MAGUFULI KUUNDA MAHAKAMA YA KIFAMILIA

Na.Agness Mnubi-MPANDA. Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Awamu ya tano Ya Dk. John Pombe Maghufuli   imeombwa kuunda Mahakama ya Kifamilia itakayojihusisha na   kushughulikia vitendo vya ukatili na unyayasaji wa kijinsia.