RAIS MAGUFULI KUPOKEA MAGARI 181 YA KUSAMBAZIA DAWA NCHINI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Pombe Magufuli kesho anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kupokea magari 181 yatakayokuwa yakitumika kusambaza madawa vijijini na mjini.
Kwa mjibu wa taarifa ya Msemaji Mkuu wa Serikali,Dkt. Hassan Abbas Rais Magufuli ndiye atakuwa mgeni rasmi na kuzindua magari hayo 181.
Magari hayo yapo chini ya Bohari Kuu ya Dawa (MSD) na yataongeza ufanisi katika kufikisha huduma katika maeneo yaliyokuwa hayafikiwi.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA