JOKATE ATUMBULIWA UVCCM
Kamati
ya Utekelezaji ya Umoja wa Vijana wa CCM iliyokutana kwa dharura mchana huu
chini ya Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa CCM Kheir Denis Jemes imetengua
uteuzi wa Kaimu Katibu wa Hamasa na Chipukizi UVCCM Taifa Jokate U.
Mwengelo kuanzia leo.
Taarifa
hiyo iliyotolewa kupitia mtandao wa twitter wa UVCCM imesema kuwa Jokate
Mwegelo ametenguliwa katika nafasi hiyo ambapo amehudumu katika nafasi hiyo kwa
takribani miezi 11 toka amelipoteuliwa April 2017.
Kikao hicho kilichomtengua
Jokate kiliendeshwa na Mwenyekiti wa Umoja wa Vijana wa Chama cha Mapinduzi
Ndg. Kheri Denis James (MCC) katika ukumbi wa secretariet White
house Mjini Dodoma lakini bado hawajaweka wazi sababu zilizopelekea kutengua
uteuzi wa Jokate Mwegelo.
Jokate Mwegelo
|
|
Amezaliwa
|
|
Utaifa
|
|
Kazi yake
|
Mwigizaji, mjasiriamali,
mtangazaji, mwimbaji
|
Miaka ya kazi
|
2006-hadi sasa
|
Comments