RAIS MAGUFULI AMEMTEUA ALIYEKUWA KATIBU MKUU IKULU BW.ALPHAYO KIDATA KUWA BALOZI
Rais
John Magufuli ameteua mabalozi wapya wawili ambao ni Alphayo Kidata na Meja
Jenerali Mstaafu,Simoni Mumwi.
Alphayo Kidata |
Taarifa
iliyotolewa leo na Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu,Gerson Msigwa
imesema Katibu Mkuu Kiongozi,Balozi John Kijazi amesema uteuzi wa Kidata
umeanza jana Jumatano Januari 10.
Kabla
ya uteuzi huo Kidata alikuwa Katibu Mkuu,Ikulu.
Taarifa
hiyo imeeleza kuwa mabalozi hao wateule watapangiwa vituo vyao vya kazi na
kuapishwa baada ya taratibu kukamilika.
Habari zaidi ni
P5TANZANIA LIMITED
Comments