UCHUNGUZI MAUAJI YA KIMBARI NCHINI RWANDA UMEKAMILIKA
Ofisi
ya mwendesha mashitaka sasa wataamua ikiwa waipeleke kesi mbele ya mahakama
ambapo Majaji wamewalaumu wapiganaji walioongozwa na rais wa sasa wa Rwanda Paul
Kagame kwa kuilenga na kuiangusha ndege iliyokuwa imembeba rais wa wakati huo
wa taifa hilo Juvenal Habyarimana.
Rwanda
nayo inawalaumu Ufaransa kwa kushiriki kupanga mauaji ya kimbari huku Upelelezi
ukisababisha sintofahamu kati ya mataifa haya mawili kiasi cha Rwanda kuvunja
uhusiano wa kidplomasia na ufaransa mwaka 2006.
Hata
hivyo Uhusiano kati ya mataifa hayo mawili ulirejeshwa miaka mitatu iliyopita.
Chanzo:bbc
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments