NCHINI SUDANI KUSINI MKATABA WA KUSITISHA MAPIGANO KUANZIA SIKU YA KRISMASI WASAINIWA
Makuabliano hayo yanaruhusu makundi ya
kutoa misaada kuwafikia wananchi waliobanwa katika maeneo ya mapigano ambapo Mara
kadhaa makubaliano ya kusitisha vita yametiwa saini Sudan kusini lakini yote
hayakutekelezwa.
Maelfu wamepoteza maisha
na mamilioni kuyakimbia makazi yao kutokana na machafuko nchini Sudani kusini
taifa ambalo lilipata uhuru miaka sita iliyopita.
Chanzo:bbc
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments