WAJUMBE CCM KATAVI:UCHAGUZI ULIKUWA NA DOSARI
Na.Issack Gerald
Baadhi
ya wajumbe wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Katavi wamedai uchaguzi wa ndani
kupitia jumuia za chama hicho kuwa na dosari.
Katibu
wa chama cha mapinduzi CCM mkoa wa Katavi Kajoro Vyohoroka ambaye ameeleza zoezi hilo kufanyika vizuri huku akiongeza kusema kuwa anafuatilia
katika jumuia zote ili kujua kama kulikua na changamoto zilizojitokeza.
Uchaguzi
wa kupata viongozi mbalimbali wa jumuia za chama cha Mapinduzi ulifanyika jana.
Uchaguzi
kama huo ndani ya chama cha Mpainduzi,umefanyika pia Zanzibar.
Habari
Zaidi NA P5TANZANIA LIMITED
Comments