RAIS JOHN MAGUFULI ATEUA JAJI MKUU WA TANZANIA-Septemba 10,2017
Rais Magufuli akiwa na Jaji mteule Jaji Prof.Ibrahim Hamis Juma |
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt. John Pombe
Magufuli leo amemteua Mhe.Prof.Ibrahim Hamis Juma kuwa Jaji Mkuu wa Tanzania.
Uteuzi huu ambao unaanza,Kabla ya uteuzi huo Mhe. Prof. Ibrahim
Hamis Juma alikuwa akikaimu nafasi hiyo.
Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma amechukua nafasi ya Mhe.Jaji
Mstaafu Mohamed Chande Othman ambaye amestaafu.
Mhe.Prof. Ibrahim Hamis Juma anatarajia kuapishwa kesho Septemba 11 majira ya saa nne Ikulu Jijini Dar
es Salaam.
Habari
zaini ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments