Posts

YASIKUPITE,MATUKIO WIKI HII KATAVI KATIKA SIASA,UCHUMI,MAKUNDI MAALUMU

SUALA LA SIASA Na.Issack Gerald-Katavi WAGOMBEA wa nafasi mbalimbali za uongozi Mkoani Katavi  wameaswa kuacha kutoa rushwa ili kujipatia ushindi katika uchaguzi ujao.

IGP MANGU AHIMIZA AMANI KATAVI

NA.Issack Gerald-Katavi MKUU wa jeshi la polisi nchini Inspekta jenerali Ernest Mangu, amesema kila mtu atimize wajibu wake ili kuhakikisha uchaguzi mkuu unaotarajiwa kufanyika Oktoba 25 mwaka huu, unafanyika kwa amani na utulivu.

WAKULIMA,WAFUGAJI MPANDA WATOA MAONI KUHUSU SHEREHE ZA NANENANE

NA.Issack Gerald-Mpanda SIKU mbili baada ya maonesho ya kilimo na ufugaji   maarufu kama nane nane, baadhi ya wakulima   pamoja na wafugaji Mkoani Katavi wametoa maoni na mapendekezo kuhusu sekta ya kilimo.

UHAKIKI DAFTARI LA MPIGA KURA NSIMBO WAFANYIKA

NA. Agness Mnub- KATAVI ZOEZI la Kuhakiki taarifa katika daftari la Kudumu la Mpiga Kura limeanza Katika Halmashauri ya Wilaya ya Nsimbo Mkoani Katavi Kufuatia Tangazo lililotolewa na Tume ya Taifa ya Uchaguzi juu ya Zoezi hilo.

WANASIASA KIKWAZO UTEKELEZAJI AGIZO LA MKURUGENZI

NA. Alinanuswe Edward-Katavi Wanasiasa wamedaiwa kuchangia kukwamisha utekelezaji   wa agizo la Manispaa ya mpanda lilitolewa mwishoni mwa mwezi mei likiwataka watu wote wanwanaosafisha magari yao katika mto misunkumilo kuacha mara moja.

BREAKING NEWS- IGP ERNEST MANGU KUWASILI MKOANI KATAVI LEO AGOSTI 09 KWA ZIARA YA SIKU MBILI MKOANI KATAVI

Image
IGP Ernest Mangu NA.Issack Gerald-Katavi Mkuu wa jeshi la polisi Tanzania anatarajia kuwasili mkoani katavi leo Agosti 09 kwa ziara ya kikazi. Akiwa katika zaiara jioni atakula chakula cha pamoja na wadau wa masuala ya ulinzi >>>>>>>>>>Endelea kuwa nami kufahamu kila kitakachojili<<<<<<<<<<<<<

PITIA VICHWA VYA MAGAZETI LEO AGOSTI 08,2015 UPATE HABARI KUBWA TANAZANIA NA NJE YA TANZANIA

Image