RAIS MAGUFULI LEO APRILI 13,2018 KUWAVALISHA VYEO MAOFISA WA JWTZ AKIWEMO MKUU WA WILAYA YA BUHIGWE ANAYEREJESHWA JESHINI
RAIS wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt.John Magufuli leo
Aprili 13,2018 anatarajia kuwavalishwa vyeo maofisa mbalimbali wa Jeshi la
Wananchi Tanzania (JWTZ) ambao amewapandisha
vyeo jana Aprili 12,2018.
Kati ya maofisa hao yumo Mkuu wa Wilaya ya Buhigwe Mkoani
Kigoma Kanali M E Gaguti ambaye sasa anapanda cheo na kuwa Brigedia Jenelari na
kurejeshwa Jeshini.
Kwa mjibu wa Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi Tanzania,Jenelari
Venancy Mabeyo amesema maofisa walioteuliwa wanakwenda kuimarisha safu za
utendaji kazi kijeshi.
ORODHA YA WALIOPANDISHWA
VYEO
1.Meja Jenerali Peter Massao aliyepandishwa kuwa Luteni
Jenarali.
2.Brigedia Jenerali Henry Kamunde aliyepandishwa
na kuwa meja jenerali.
3.D.D.M Mullugu
4.J.J Mwaseba
5.A.S Mwamy
6.R.K Kapinda
7.C.D Katenga
8.Z.S Kiwenge
9.M.A Mgambo
10.A.M Alphonce
11.A.P Mutta
12.A.V Chakila
13.M.G Mhagama
14.V.M Kisiri
15.C.E Msolla
16.S.M Mzee
17. C.J Ndiege
18.I.M Mhona
19.R.C Ng’umbi
20.S.J Mnkande
21.A.C Sibuti
22.M.M Mumanga
23.I.S Ismail
24.M.N Mkeremy
25.G.S Mhidze
26.M.A Machanga
27.S.B Gwaya
28.P.K Simuli
29.M.E Gaguti.
30.Luteni Kanali D.P.M Murunga amepandishwa kuwa kanali na kuwa
mpambe wa Rais akichukua nafasi ya Kanali Mkeremy
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com
Comments