MWENYEKITI JUKWAA LA WAHARIRI TANZANIA ABWAGA MANYANGA
Mwenyekiti Jukwaa la Wahariri
Tanzania(TEF) Bw.Theophil Makunga amejiuzulu nafasi hiyo.
Taarifa ya kujizulu kwa Bw.Makungu
imetolewa leo katika vyombo vya
habari na Jukwaa la wahariri
Tanzania (TEF) na kueleza kuwa mwenyekiti huyo amejiuzulu tangu jana.
Kwa mjibu wa TEF,Bw.Makungu
amechukua hatua hiyo kwa kutumia uhuru wake binafsi kama mwanachama hai ambapo
mkutano wa dharura umefanyika leo na kuridhia kujiuzulu kwake.
Pamoja na jukwaa kusema
litakosa busara za Bw.Makungu katika taaluma ya habari pia limemtakia kila la
heri katika majukumu yake mengine.
Habari zaidi
ni P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Comments