WABUNGE WAPYA CCM WALA KIAPO BUNGENI
Mkutano wa 10 wa Bunge umeanza leo mjini Dodoma kwa wabunge wapya watatu wa CCM kula kiapo cha uaminifu mbele ya Naibu Spika,Dk Tulia Ackson.
Wakati
wabunge hao wakila kiapo,takribani wabunge 50 wa upinzani walikuwa nje ya
ukumbi wa chombo hicho cha kutunga sheria.
Walioapishwa
ni Dk Damas Ndumbaro (Songea Mjini), Justin Monko (Singida Kaskazini) na
Dk Stephen Kisurwa wa Longido.
Pia,Dk
Tulia aliomba wabunge kusimama kwa dakika moja kumkumbuka aliyekuwa mbunge wa
Songea Mjini, Leonidas Gama ambaye alifariki dunia Novemba mwaka jana.
Habari zaidi ni
P5TANZANIA LIMITED
Comments