NECTA YATANGAZA TAREHE YA MTIHANI KIDATO CHA SITA

Baraza la Mitihani la Taifa (Necta) limesema mitihani ya kuhitimu kidato cha sita inatarajia kuanzaitaanza Mei 7 hadi 24 mwaka huu.

Kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Necta Januari 26, mwaka huu,inaonyesha somo la kwanza litakuwa ni masomo ya jumla ‘General Studies’ na somo la mwisho litakalofanyika Mei 24 litakuwa ni Baiolojia 3C (kwa vitendo).
Msemaji wa Necta,John Nchimbi amesema “lengo la kutoa ratiba ni kuwafanya wanafunzi na walimu wao kujiandaa kwa ajili ya mitihani yao.”

Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA