HABARI PICHA MKOANI KATAVI WAKATI WA UFUNGUZI WA WIKI YA SHERIA

Askari katika maandamano ya ufunguzi wiki ya Sheria Tanzania Mkoani Katavi katika viwanja vya Mahakama ya Wilaya Mpanda(PICHA NA.Issack Gerald)

Katika picha ni Mkuu wa Wilaya ya Tanganyika Salehe Mbwana Muhando na Mkuu wa Wilaya Mpanda Lilian Charles Matinga wakati wa ufunguzi wa wiki ya sheria Tanzania Mkoani Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)
Watumishi wa mahakama wakishikilia bango wakiwa sambamba na wanafunzi katika Manispaa ya Mpanda wakati wa ufunguzi wa wiki ya Sheria Tanzania Mkoani Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)

Wanafunzi wa shule mkoani Katavi wakishiriki maandamano katika uzinduzi wa wiki ya sheria Tanzania Mkoani Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)

Watumishi wa mahakanma katika maandamano ya uzinduzi wiki ya sheria Tanzania Mkoani Katavi (PICHA NA.Issack Gerald)
Bango wakati wa ufunguzi wa wiki ya sheria Tanzania Mkoani Katavi(PICHA NA.Issack Gerald)

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA