MBUNGE NASSARI:NIMENUSURIKA KUUWAWA KWA RISASI USIKU
Mbunge wa Jimbo la arumeru Mashariki Joshua Nassari,
amevamiwa na watu wasiojulikana nyumbani kwake Usa River mkoani Arusha na
kunusurika kupigwa na risasi ambazo zimeua mbwa wake.
Mh.Joshua Nassari |
Mbunge huyo mara kadhaa amekuwa akiripoti katika mitandao ya
kijamii kuwa amekuwa atishiwa kuuawa mara kwa mara.
Hakuna
kauli ya jeshi la polisi ambayo imetolewa kuzungumzia tukio hilo.
Habari
zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments