WAHAMIAJI HARAMU WILAYANI MLELE MKOANI KATAVI KUANZA KUSAKWA-Agosti 2,2017
Mkuu wa wilaya ya mlele mkoani Katavi Rahel Kasanda
amewaagiza watendaji wa idara mbalimbali kataka Halmashauri hiyo kushirikiana
vema na wananchi katika kuwabaini wahamiaji haramu wanaoingia katika wilaya
hiyo.
Hayo yamebainishwa jana na mkuu huyo wa wilaya wakati akihutubia
mkutano wa nne wa baraza la madiwan katika shule ya sekondar inyonga.
Amesema wilaya ya mlele ni lango la kupita kila mtu
hivyo ni vyema viongozi pamoja na wananchi kushirikiana kutoa taarfa
katika vyombo vya ulinz na usalama pindi
wanapo kuwa na mashaka na mtu .
Habarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Comments