RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MKURUGENZI MKUU WA NHIF-Agosti 12,2017
Katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi(by P5 TANZANIA) |
Kwa
mjibu wa katibu mkuu kiongozi balozi John Kijazi amesema uteuzi wa Bw. Benard Hezron
Konga umeanza Agosti 9 mwaka huu.
Kabla
ya uteuzi huo Bw.Konga alikuwa akikaimu nafasi hiyo
Habarika zaidi kupitia www.p5tanzania.blogspot.com
Comments