WAJUMBE KAMATI YA MAADILI KUTOKA NCHINI MALAWI WAITEMBELEA TANZANIA-Julai 28,2017
Wajumbe wa Kamati ya Maadili kutoka Malawi wameitembelea
Tanzania kwa lengo la kujifunza utendaji kazi wa maeneo tofauti ikiwemo
utendaji katika Wizara ya Ardhi,Nyumba na Maendeleo ya Makazi,hususan katika
eneo la utoaji huduma kwa Umma katika kupambana na Rushwa na uadilifu wa
Utumishi.
Wajumbe wa Kamati ya Maadili kutoka Malawi walifanya mkutano
na Kamati ya uadilifu ya Wizara ya Ardhi.
Mratibu wa Kituo cha huduma kwa
Mteja,Johnson Sanga aliwatembeza ili kukaguza electronic queing machine ya
kuhudumia wateja ambayo hutumika katika Kituo cha Huduma kwa Mteja.
Comments