KIKOSI CHA JADI KIJIJI CHA KAWANZIGE MPANDA CHAAPISHWA KUAPMABANA NA UHARIFU
KIKOSI cha ulinzi wa jeshi la jadi
maalufu kama sungusungu katika kijiji cha Kawanzige kata ya Kakese manispaa ya
Mpanda kimeapa kuendelea na mapambano dhidi ya uhalifu katika eneo hilo.
Hayo yamesemwa jana katika hafla ya
kutathimini uwajibikaji wa makamanda wakati wa utekelezaji wa majukumu ya
ulinzi na usalama katika kijiji hicho.
Katika risala iliyoandaliwa kwa mgeni
rasmi jeshi hilo limeonekana kupata mafanikio makubwa katika dhana ya ulinzi
pamoja na kushiriki katika shughuli mbalimbali za kimaendeleo.
Kwa upande wa jeshi la polisi ambao
umewakilishwa na Zabron Ibeganisa kamanda wa polisi jamii mkoa wa Katavi kwa niaba ya OCD amesema jeshi la polisi
linatambua na kuthamini mchango mkubwa wa uimalishaji wa ulinzi shirikishi kwa
kutumia jeshi la sungu sungu.
Kumekuwa kukijitokeza uharifu mwingi
ikiwemo wizi wa mali za raia ikiwemo mifugo
Mwandishi:Alinanuswe Edward
Mhariri:Issack Gerald Bathromeo
Endelea kuhabarika na P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM pekee
Comments