WAOMBA KIKAO CHA AMANI KATAVI
Picha ya pamoja kati ya wazee maarufu,viongozi wa kisiasa,dini na wafanyabisahara na Kamanda wa Polisi Mkoa ni Katavi Dhahirii Kidavashari mara baada ya kujadili mikakati ya kuimarisha amani na uasalama katika mkoa wa Katavi kuelekea uchaguzi Na.Issack Gerald-KATAVI Mkuu wa Mkoani Katavi ameombwa kuitisha kikao maalumu kinachojumuisha tume ya taifa ya uchaguzi,wanasiasa na wazee maarufu Mkoani Katavi ili kujadili namna ya kukabiliana na viashiria mbalimbali vya uvunjifu wa amani vinavyojitkeza kwa sasa kuelekea uchaguzi Oktoba 25 mwaka huu.