MKOANI KATAVI ELIMU KUHUSU RUSHWA YAHITAJIKA ZAIDI-Julai 23,2017
VIONGOZI wametakiwa kuisaidia jamii kujua umuhimu wa
kutoa taarifa pindi vitendo vya utoaji
wa rushwa vinapotokea.
Wito huo
umetolewa na Afisa uhamasishaji wa umma ofisi ya takukuru mkoa wa katavi Bwn
Fredrick Johakimu alipokuwa akiongea na wanachama wa ccm waliochukua fomu ya
kushika uongozi wa ndani ya ccm ngazi mbalimbali mkoa wa katavi na kuwaeleza
kuwa wao ni watu wa kwanza kuelimisha jamii juu ya madhara ya vitendo vya rushwa .
Pia hakusita
kutoa onyo kwa watu ambao wanatoa taarifa zisizo sahihi juu ya vitendo vya
rushwa na amewaonya kuwa wa kweli katika kutoa taarifa.
Habari zaidi ni P5TANZANIA.BLOGSPOT.COM
Comments