RAIS MAGUFULI AFANYA UTEUZI MPYA WA VIONGOZI


Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania,Dkt.John Magufuli leo Aprili 15,2018 amefanya uteuzi wa Majaji 10 wa Mahakama Kuu ya Tanzania,Naibu Mwanasheria Mkuu wa serikali,Naibu Mkurugenzi wa Mashitaka,Wakili Mkuu wa serikali na Naibu Wakili Mkuu wa serikali.

Aidha,Dkt.Magufuli amesema amefanya uteuzi huo wa Majaji wa Mahakama Kuu kwa lengo la kujaza nafasi za Majaji waliostafu na amefanya uteuzi wa Wakili Mkuu wa serikali na Naibu wake kwa lengo la kuhakikisha ofisi za Mwanasheria Mkuu wa serikali,Mkurugenzi wa Mashitaka na Wakili wa Mkuu wa serikali zinafanya kazi vizuri zaidi katika kushughulikia masuala ya Mahakama.
Habari zaidi ni www.p5tanzania.blogspot.com  

Comments

Popular posts from this blog

HISTORIA FUPI YA ABDULRAHMAN KINANA ALIYEJUZULU UKATIBU MKUU CCM

FAHAMU HISTORIA YA JOKETI ALIYETUMBULIWA NA UVCCM

HISTORIA FUPI YA LAZARO NYALANDU ALIYEIBWAGA CCM NA KUHAMIA CHADEMA