Mkuu wa mkoa wa Katavi Meja Jenerali Mstaafu Raphael
Muhuga amewataka wananchi kuchangamkia kulima kilimo cha korosho na pamba.
|
Korosho |
Ametoa kauli
hiyo wakati wa kukabidhi hundi kwa vikundi vya akina mama na vijana wasiriamali
ambapo jumla ya milioni 37 zimetolewa
kwa vikundi 12.
|
Pamba |
Ameongeza kuwa
upatikanaji wa mbegu za mazao hayo ni wa uhakika na tayari mkoa wa
Katavi umepokea tani 51 za mbegu ya pamba kutoka bodi ya pamba Tanzania
Huu ni mkakati wa Mkoa wa katavi kuondoa utegemezi wa
zao la tumbaku ambalo limekumbwa na
changamoto ya kukosekana wanunuzi .
Habari zaidi ni P5TANZANIA LIMITED
Comments