NSIMBO YAKUBALI KUJENGA SEKONDARI URUWIRA
Halmashauri
ya Nsimbo mkoani Katavi imeridhia kuanza ujenzi wa shule ya sekondari ya kata
katika kata ya Uruwira
Hayo
yamesemwa na kaimu mkurugenzi wa halmashauuri ya Nsimbo Michael Nzyungu wakati
wa mahojiano na mpnda redio kwa njia ya simu.
Nzyungu
ameongeza kusema kuwa upo umuhimu wa wananchi katika kata hiyo kuanza zoezi la
uchangiaji wa nguvu kazi ili kutekeleza agizo la raisi linalo zitaka
halmashauri zote nchini kusimamia utekelezaji .
Kata ya
uruwira ni miongoni mwa kata kongwe nchini mbapo mpaka sasa haija tekereza
agizo hilo.
Comments